Habari za Uhakika, kwa Maslahi ya Watanzania. Uzalendo ndio Ujanja
Mwandishi wetu Pwani, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na hatua za maandalizi kuelekea sherehe za kuwashwa kwa Mwenge wa Uhuru ambao utazunguk…
mwandishi wetu Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 29, 2025 amefanya ukaguzi wa viwanja vitakavyotumiwa kufanyia mazoezi na timu zitakazo shiriki michuano …
Mwanga -Kilimanjaro, mwandishi wetu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Waganga Wakuu wa Mikoa na Wilaya wasimamie vema fedha za ununuzi wa dawa zinazotole…
Safina Sarwatt,Mwanga WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, amemuagiza Waziri wa Afya, Jenista Mhagama na watendaji wa Wizara hiyo kukutana na kufanya mapitio ya vige…
Dodoma, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amefungua kikao cha 39 ya Jumuiya yaTawala za Mitaa Tanzania(ALAT),uliofanyika katika…
Moshi. Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini, KCMC, imezindua maadhimisho ya Siku ya Usikivu Duniani kwa mwaka 2025 kwa kutoa huduma za milango ya fahamu, …
Safina Sarwatt,Moshi, MKUU wa wilaya Moshi Godfery Mzava ametangaza vita dhidi ya wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja(MASHOGA)pamoja na wanawak…